Echolima
JF-Expert Member
- Oct 28, 2007
- 3,824
- 2,079
Huyo hawezi kujibu hata moja maana yeye anaabudu waarabu na ndiyo maana naye kaazisha chuki dhidi ya wayahudi ili awafurahishe Mabwana zake!!!!!Uko pamoja na mabwana kuhusu Wayahudi kushika tuzo za Nobel mara nyingi? Ambayo ni kweli! Ila tu utueleze wanatumia udanganyifu gani kugundua mambo mengi katika fizikia, kemia, tiba .....
Sijui wanafanyaje kutawala dunia nzima, kuchota pesa mchana na usiku , kudanganya watu wote - je wanafanya kazi hii ya sayansi wakati wa mapumziko? Kama starehe?
(menginevyo:Hujajibu hata swali moja niliyouliza!)