Fantasia
JF-Expert Member
- Nov 19, 2017
- 1,071
- 832
- Thread starter
- #181
Wamedanganya dunia nzima...inafkia mahali watu tumepuuza Mila, desturi jadi mitambiko na kutengeneza a common belief system....wao wanatuibia tu...hatimaye tunawasaidia kutuibia sababu sisi ni misukule...Hujatukana wala nini, umesema yalioandikwa, ukaona yana maana uka share nasi, these are your opinions, waku crush asage mpaka unga, wa kukubali poa, wakuchangia kwa ustadi karibu...
We are living in a very, very sinister world, we made it easier for them through our naivety and ignorance...atayetaka kuamini binadamu anaweza tembea juu ya maji sawa, kubadilisha maji kuwa mvinyo au kuponya viziwi na vipofu ajaribu aone, atakayeamini ukiingia kwenye kundi la Simba wenye njaa hautadhirika poa, ila lazima haya yasemwe..
Alafu wanafanya mambo mabaya mno...mswahili hawajui..uliza mzungu atakwambia ubaya wao...Kaka nimeishi nao, ninaishi nao nimefanya nao kazi nawafahamu...!sisi tunataka sasa tujikwamue tujenge nchi na bara letu...Hilo halitawezekana pasipo ibada asilia...ambazo zimetukanwa kwenye vitabu vyao....