Fantasia
JF-Expert Member
- Nov 19, 2017
- 1,071
- 832
- Thread starter
- #201
Mbona sielewi...sijazuia mtu kukomentiUmetipiga stop kucjangia kupitia media tulizosoma. Je utafi5i wako source yake wape? Uliwahoji watu kadhaa ? Ulienda wapi na wapi kupata taarifa hizi ? Utafiti wako ulufanyika wapi? Na wewe umechungulia kwenye vyombo vya mawasiliano. Hata hivyo hujaweka utafiti wako hapo tuusome ukiweka na takwimu.
Ukitoka POVU ni dalili umeshikwa pabaya
Changieni tu ndugu