Fantasia
JF-Expert Member
- Nov 19, 2017
- 1,071
- 832
- Thread starter
- #221
Baba wa imani, hivi lini utajua kwamba biblia ni kitabu cha hadithi Wala sio historia? Unakumbuka ibrahimu wakina mangi meli na mandara umesahau walinyongwa pale MoshiUkitaka kumjua Myahudi, Anza na Kitabu cha MWANZO 12:1- utiririke na mzee wetu Ibrahimu - Baba wa imani