Hivi ni kweli wayahudi wanaitawala dunia? Kweli ama si kweli toa sababu zako..

Hivi ni kweli wayahudi wanaitawala dunia? Kweli ama si kweli toa sababu zako..

Status
Not open for further replies.
Kwani unaenda msikitini na kanisani ukapate Nini? Love yours....ya myahudi ibada yakwako uchafu? Ndio sababu ukakubali kuitwa mtumwa...Kila mtu kwao
Na Kila mtu chake
 
Kwani unaenda msikitini na kanisani ukapate Nini? Love yours....ya myahudi ibada yakwako uchafu? Ndio sababu ukakubali kuitwa mtumwa...Kila mtu kwao
Tumeshakubaliana kwamba wao "Wayaudi",ndio wanaomiliki dunia hii,hata ukitambika itasaidia nini. Wakati unatambika si unaishi hapa hapa duniani?,au unaishi hewani?
 
Kwenye issue ya jina kuitwa, Allah, Mungu ama Jehovah n.k hyo inategemea na mtu mahali ametoka na lugha anayotumia ... Bila Shaka unaamini katika uwepo wa Mungu na ni lazima jina lipatikane la kumtofautisha yeye na viumbe wengine na hapo ndipo majina yakaja!!
 
Tumeshakubaliana kwamba wao "Wayaudi",ndio wanaomiliki dunia hii,hata ukitambika itasaidia nini. Wakati unatambika si unaishi hapa hapa duniani?,au unaishi hewani?
Umekubali wewe, wenzio tushatoka, we are the ideological rebels..kizazi Cha Makuhani, na kuhani dira kizazi hiki muhanga Dedan Kimathi....wewe ni kuhani ndugu jitambue..wewe ni Mwana wa miungu..your the most powerful...fungua Macho yako uone,
 
Kwenye issue ya jina kuitwa, Allah, Mungu ama Jehovah n.k hyo inategemea na mtu mahali ametoka na lugha anayotumia ... Bila Shaka unaamini katika uwepo wa Mungu na ni lazima jina lipatikane la kumtofautisha yeye na viumbe wengine na hapo ndipo majina yakaja!!
No way, in that case it should be relative and democratic, kwa mfano sisi weusi according to the blue print ya babu zetu hatukuweza kumpa jina, badala yake we refer to him as the hidden one....huwezi kumpa Mungu jina...ni kufuru kubwa....matokeo yake ubaguzi wa rangi na bisshara ya utumwa
 
Umekubali wewe, wenzio tushatoka, we are the ideological rebels..kizazi Cha Makuhani, na kurani dira kizazi hiki Dedan Kimathi....wewe ni kuhani ndugu jitambue..wewe ni Mwana wa miungu..your the most powerful...fungua Machi yako uone, utoke msukuleni
Mkuu you are too general,go to specifics
 
Hii sasa unatafuta BAN kwa nguvu naamini utaipata tu!!!
Haha haha haahhaaaaha h haaaaaaa haaaaaaa hahahahah, na ninakuhakikishia
Mimi na wewe lazima tuyamalize,uliyataka mwenyewe, Tena nitakutafuta nje ya JF. NINAKUHAKIKISHIA TUTAYAMALIZA, I ALWAYS FINISH MY BUSINESS, YOU CONTRACTED ME, I WILL FINISH IT
 
Dini kutugawa ni sawa kabisa.. Ila kukubali kujigawa kwa sababu ya dini zetu ni upumbavu!! Na tukubali pia bila hizo dini tusingemjua Mungu
 
Je wanao miliki dunia hii,wakizipiga marufuku hizo ibada za asili?
Hawawezi....kwani Mungu yupo nasi Usiogope my brother Mungu yupo pamoja nasi, sisi ni makuhani, sasa ni saa ya ukombozi, sehena, meni kenebeti
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom