Hivi ni Kweli Wizara Haijaweka majina ya walioajiriwa Kwa Mtandao?

Nswima John Edward

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2012
Posts
612
Reaction score
312
Jamani nijuzeni Mwenzenu....Nimejitahidi kuingia kwenye website ya wizara lakini sijaona kitu, kwenye mitandao ya kijamii bado nimefua dafu, mwenye link ya ajira mpya za walimu wa shahada anipatie!!!
 
walimu kazi ipo na taarifa zisizo zibitishwa,yafaa kusubiri tu siku chache zijazo kama wasemavyo
 
walimu kazi ipo na taarifa zisizo zibitishwa,yafaa kusubiri tu siku chache zijazo kama wasemavyo

Tena hamta ajiriwa wote sababu ya ukosefu wa fedha, wengine watasubiri mpaka August 1
 
Wameshaweka kaangalie, ila umepelekwa Nanyumbu sec iliyopo Mtwara vijijini. Huko gari halifiki hivyo jiandae kubeba mabegi kichwani. Teh teh teh teeeeh!
 
Tena hamta ajiriwa wote sababu ya ukosefu wa fedha, wengine watasubiri mpaka August 1

sio August tu wanaweza kufika hata mwaka ujao bila ajira, kuna watu wamemaliza 2011 hadi sasa hawajapata ajira na walikuwa wanatucheka sisi tuliosoma kozi tofauti na ualimu, matokeo yake sisi tupo katika ajira na wao bado wanahangaika kusubiri.
 
Hilo liko dhahiri mkuu, hata baadhi ya waliomaliza masomo ya uuguzi 2011 mpaka leo wako mtaani
 
acheni kuchonga sana,wote hamjui ukweli,anayejua ukweli ni kawambwa na team yake
 
:llama::llama::llama::llama::llama::llama::llama::llama::llama:Kaka vuta subira post ni week hii inayo anza kesho na si zaidi ya hapo ajira ni mwanzo wa februali.
 
Poleni sana, c mnajua kua serikali yetu hainaga utaratibu maalum ya kuajiri wafanyakazi wake. Vp mmejiandaa kupigania pesa zenu za kuanza maisha kutoka halmashauri? nimesikia wakurugenzi wameitwa kuelezwa cha kufanya pindi walimu watakapoanza kudai pesa zao..jaribu kuunganisha dot
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…