Hivi ni kweli Yanga kiingilio cha elfu 5 pia kimewashinda?

chala41

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2024
Posts
300
Reaction score
606
Hii timu kweli huu ubingwa wanaupata kihalali au wanatumia uchawi wa kizungu kwa timu kinzani.? Haiwezekani timu inachukua ubingwa 3 years consecutive lakin mashabiki wake bado wanashabikia mtandaoni na hawana imani zaidi ya timu yao.

Kutwa kubishana mshahara wa Azizi Ki mara azizi anatoka na Hamisa

Hii ni timu ya watengeneza drama lakin sio mpira wa kiukweli. Ndio maana msemaji wao aliwachana kama hawa mabwana wenye akili kichwani ni wawili tu baba yake na JK.

Ticket za buku 5 zimewashinda labda wanachoweza ni matusi tu lakin kununua ticket aah

Shabiki wa yanga anaweza kuongea matusi asubuhi mpaka jion ila jezi asinunue wala ticket asinunue

Hao ndio uto
 
Ngoja wamalize kunywa supu
1000011373.jpg
 
Hii timu kweli huu ubingwa wanaupata kihalali au wanatumia uchawi wa kizungu kwa timu kinzani.? Haiwezekani timu inachukua ubingwa 3 years consecutive lakin mashabiki wake bado wanashabikia mtandaoni na hawana imani zaidi ya timu ya...
Kwa mujibu wa takwimu za Tff Yanga ndio timu inayo ongoza kwa mashabiki wake kujaza viwanja iwe nyumbani au ugenini ata msimu ulio pita 2023/2024 Yanga waliongoza kwa kuingiza mashabiki wengi.

Kwenye Aya matamasha ni msimu wa tatu huu tunashuhudia Simba wakitangaza Sold out na siku ya mechi uwanja unakua wazi kwenye maeneo mengi.

Inawalazimu Kuanza kukwepesha Camera ili kuwafichia aibu.

Tumeona hivyo tamasha lililopita, Ufunguzi wa Afl n.k

Haiwezekani kwenye Ligi uwe ni timu yenye mashabiki wachache viwanjani kwenye matamasha utangaze Sold out yaani mambo ya kumsajili Manzoki mna apply uku.

Kwa hakika viongozi wenu Wana waweza😃😃😃
 
Sasa utopolo si walijaa bure

Timu la matamasha, furaha yao siku hizi inaiishiaga kwenye hilo tamasha tu, ukitoa hapo ni vilio ndo maana kwenye mechi za msimu hawajazi uwanja maana inakuaga kilio tu,,,,,huu ndo wakati wao wa kufurahi likipita hilo tamasha ni vilio tena
 
Hii timu kweli huu ubingwa wanaupata kihalali au wanatumia uchawi wa kizungu kwa timu kinzani.? Haiwezekani timu inachukua ubingwa 3 years consecutive lakin mashabiki wake bado wanashabikia mtandaoni na hawana imani zaidi ya timu yao.

Kutwa kubishana mshahara wa Azizi Ki mara azizi anatoka na Hamisa

Hii ni timu ya watengeneza drama lakin sio mpira wa kiukweli. Ndio maana msemaji wao aliwachana kama hawa mabwana wenye akili kichwani ni wawili tu baba yake na JK.

Ticket za buku 5 zimewashinda labda wanachoweza ni matusi tu lakin kununua ticket aah

Shabiki wa yanga anaweza kuongea matusi asubuhi mpaka jion ila jezi asinunue wala ticket asinunue

Hao ndio uto
Subiri jumapili acha kuharisha naona unalala unaiwaza yanga pambana na simba yako au yanga inakunyima usingizi?
 
Kwa mujibu wa takwimu za Tff Yanga ndio timu inayo ongoza kwa mashabiki wake kujaza viwanja iwe nyumbani au ugenini ata msimu ulio pita 2023/2024 Yanga waliongoza kwa kuingiza mashabiki wengi.

Kwenye Aya matamasha ni msimu wa tatu huu tunashuhudia Simba wakitangaza Sold out na siku ya mechi uwanja unakua wazi kwenye maeneo mengi.

Inawalazimu Kuanza kukwepesha Camera ili kuwafichia aibu.

Tumeona hivyo tamasha lililopita, Ufunguzi wa Afl n.k

Haiwezekani kwenye Ligi uwe ni timu yenye mashabiki wachache viwanjani kwenye matamasha utangaze Sold out yaani mambo ya kumsajili Manzoki mna apply uku.

Kwa hakika viongozi wenu Wana waweza😃😃😃
Halafu Cha ajabu Simba ikaongoza kwa kuingiza mapato mengi viwanjani! Unapata picha gani hapo?
 
Ndio kombe lenu hilo shangilieni muda wenu huu ligi ikianza mtanyamaza wenyewe
 
Mashabiki wanahasira...yaani watoe kiingilio halafu akalipwe manara
 
Timu la matamasha, furaha yao siku hizi inaiishiaga kwenye hilo tamasha tu, ukitoa hapo ni vilio ndo maana kwenye mechi za msimu hawajazi uwanja maana inakuaga kilio tu,,,,,huu ndo wakati wao wa kufurahi likipita hilo tamasha ni vilio tena
Na kweli. Wakitoka nje ya TAMASHA kilio kinaanza tarehe 8
 
Hii timu kweli huu ubingwa wanaupata kihalali au wanatumia uchawi wa kizungu kwa timu kinzani.? Haiwezekani timu inachukua ubingwa 3 years consecutive lakin mashabiki wake bado wanashabikia mtandaoni na hawana imani zaidi ya timu yao.

Kutwa kubishana mshahara wa Azizi Ki mara azizi anatoka na Hamisa

Hii ni timu ya watengeneza drama lakin sio mpira wa kiukweli. Ndio maana msemaji wao aliwachana kama hawa mabwana wenye akili kichwani ni wawili tu baba yake na JK.

Ticket za buku 5 zimewashinda labda wanachoweza ni matusi tu lakin kununua ticket aah

Shabiki wa yanga anaweza kuongea matusi asubuhi mpaka jion ila jezi asinunue wala ticket asinunue

Hao ndio uto

Mbona unaonesha ni mkosefu wa maarifa kiasi hiki? Sasa mashabiki kutoingia uwanjani na timu kufanya vizuri kuna uhusiano gani? Mashabiki ndio wanaocheza mpira? Kumbe humu kuna mashabiki wa Simba wajinga kiasi hiki!
 
1000158217.jpg
wakiweka tu hii watavunjana miguu kuwahi ticket au wanasubiri GSM atoe za bure
 
Back
Top Bottom