Hivi ni kweli, yule Mzee wa kazi chafu aka MVP Litombo anakwenda Simba?

Hivi ni kweli, yule Mzee wa kazi chafu aka MVP Litombo anakwenda Simba?

Sababu ya kuondoka huyu jamaa na jumaa shabani nenda kaangalie marudio ya dabi lile goli la kibu ....chazo ni wao mechi za simba na yanga zikiisha huwa zinaondoka na wachezaj
 
Wachezaji wa kigeni.

1. Jefferson Luis goal keeper.
2. Ngoma
3. Kramo
4. Malone
5. Onana.
6. MIQUESSON.

7. Inonga
8. Kanute
9. Saido.
10. Baleke.
11 Chama
12. Phili.

13. SACKO.
14 . Banda .

WANGEKUWA NA AKILI WANGEMTOA KAFALA PHILI AJE BANGALA.
Sidhani kama kulikuwa na haja ya kuwatoa viongozi wetu akili..ufahamu pale kuna Mwalimu ambae amemaliza msimu na timu tofauti na miaka mingine. Hivyo, viongozi wanasajili kulingana na matakwa ya ripoti ya Mwalimu na si vinginevyo.
 
upo sahihi jamaa anakula pensheni kimataifa ni mzigo anaweza mechi za ndani tu
Yaani kimataifa alikuwa ananikera kweli! pasi zake hazifikii mlengwa, wakati mwingine kanalazimisha kapite katikati ya watu wawili ilihali uwezo huo hakana na matokeo kananyang'anywa boli ndipo kanaanza kutembea ki fazafaza.
 
ndio hapo najiuliza wanaofanya usajili wako makini, mtu dakika 20 amekata pumzi. Sakho alikuwa sahihi kutafuta Timu ulaya.
 
Back
Top Bottom