rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
upo sahihi jamaa anakula pensheni kimataifa ni mzigo anaweza mechi za ndani tuAngalia ulichokiandika wewe! yaani moze phiri atolewe kafara eti kaziba nafasi? hujui mpira wewe, yaani bora watimue yule ntibanzonkii
Unaondoa goli 16?Angalia ulichokiandika wewe! yaani moze phiri atolewe kafara eti kaziba nafasi? hujui mpira wewe, yaani bora watimue yule ntibanzonkii
Angalia ulichokiandika wewe! yaani moze phiri atolewe kafara eti kaziba nafasi? hujui mpira wewe, yaani bora watimue yule ntibanzonkii
Tulia babaaaaYaani mfungaji bora wa ligi ya NBC umuondoe kisa huyo takataka phiri ?
Hatukati mchezaji yoyote na Bangala atakuja kwetu.Tulia babaaaa
Sidhani kama kulikuwa na haja ya kuwatoa viongozi wetu akili..ufahamu pale kuna Mwalimu ambae amemaliza msimu na timu tofauti na miaka mingine. Hivyo, viongozi wanasajili kulingana na matakwa ya ripoti ya Mwalimu na si vinginevyo.Wachezaji wa kigeni.
1. Jefferson Luis goal keeper.
2. Ngoma
3. Kramo
4. Malone
5. Onana.
6. MIQUESSON.
7. Inonga
8. Kanute
9. Saido.
10. Baleke.
11 Chama
12. Phili.
13. SACKO.
14 . Banda .
WANGEKUWA NA AKILI WANGEMTOA KAFALA PHILI AJE BANGALA.
Yaani kimataifa alikuwa ananikera kweli! pasi zake hazifikii mlengwa, wakati mwingine kanalazimisha kapite katikati ya watu wawili ilihali uwezo huo hakana na matokeo kananyang'anywa boli ndipo kanaanza kutembea ki fazafaza.upo sahihi jamaa anakula pensheni kimataifa ni mzigo anaweza mechi za ndani tu
ndio hapo najiuliza wanaofanya usajili wako makini, mtu dakika 20 amekata pumzi. Sakho alikuwa sahihi kutafuta Timu ulaya.Yaani kimataifa alikuwa ananikera kweli! pasi zake hazifikii mlengwa, wakati mwingine kanalazimisha kapite katikati ya watu wawili ilihali uwezo huo hakana na matokeo kananyang'anywa boli ndipo kanaanza kutembea ki fazafaza.