Hivi ni Kweli Zahera alikacha Yanga kuwasaidia VITA!

Hivi ni Kweli Zahera alikacha Yanga kuwasaidia VITA!

MAKULUGA

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2011
Posts
7,828
Reaction score
10,527
Kuna maneno mengisna miongoni mwetu washabiki wa Simba ,kuwa Kocha Mwinyi Zahera alikuwa bega kwa bega kuisaidia Vita .Matokeo yake alikosa muda wa kuungana na timu yake kwenda kuwavaa Wanapalujengo.Kama hizi habari ni za kweli basi Watani zetu huyu Mkongoman mwangalieni sana atawapanda kichwani!
 
Huo ndio ukweli, ila kwa hili nina wasiwasi kama atapona, acha washabiki wa yanga wazidi kumponza, sizani kama work permit atapewa tena, pamoja na usimba na uyanga alitakiwa atambue kuwa simba inaiwakilisha taifa.
Kuna maneno mengisna miongoni mwetu washabiki wa Simba ,kuwa Kocha Mwinyi Zahera alikuwa bega kwa bega kuisaidia Vita .Matokeo yake alikosa muda wa kuungana na timu yake kwenda kuwavaa Wanapalujengo.Kama hizi habari ni za kweli basi Watani zetu huyu Mkongoman mwangalieni sana atawapanda kichwani!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vyura hawana jinsi Zahera katoka bafuni na taulo. Hata kama ni mropokaji lakini ndio analeta pesa ya unga.Ni lazima wamuite baba wapende wasipende.Njaa sio masihara.
 
Alijaribu kukata ngozi ya Uso kuziba kovu la sehemu Za Siri akaumbuka
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Back
Top Bottom