Kuna maneno mengisna miongoni mwetu washabiki wa Simba ,kuwa Kocha Mwinyi Zahera alikuwa bega kwa bega kuisaidia Vita .Matokeo yake alikosa muda wa kuungana na timu yake kwenda kuwavaa Wanapalujengo.Kama hizi habari ni za kweli basi Watani zetu huyu Mkongoman mwangalieni sana atawapanda kichwani!