Hivi ni lazima tu ukiwa Kikosi cha Ulinzi cha Marais (Viongozi) duniani uwe pia ni 'Baunsa' hasa kimuonekano?

Hivi ni lazima tu ukiwa Kikosi cha Ulinzi cha Marais (Viongozi) duniani uwe pia ni 'Baunsa' hasa kimuonekano?

Hii ni nje ya mada, wanamlinda dhidi ya nani?!

Kwanini huyo mbaya wake asitafutwe akaondolewa kwenye jamii, ili abaki akiishi salama?!

Au yeye asije huku kwetu akae huko ili awe salama.
 
hata ka picha kamekosekana kiongozi...
 
Ushaona walinzi wa Rais wa oman walivo na vitambi vikubwa?
 
Una hoja za kitoto kweli namna hii ccm itatawala milele
 
Back
Top Bottom