Hivi ni lazima utumie ushirikina kwenye biashara ndo utoboe?

Unatafutwa kupigwa.

Yaani Mtu kakupa kastori chake huenda hata katunga tu wewe unataka kuingia kichwa kichwa.
Nipo makini mkuu sio kwamba sijui wahuni wa huku JF
 
Shida mtu anataka akifungua biashara leo, basi kesho afanikiwe.
Shortcut inawaponza wengi wanaenda kutapeliwa huko na waganga.
 
Shida mtu anataka akifungua biashara leo, basi kesho afanikiwe.
Shortcut inawaponza wengi wanaenda kutapeliwa huko na waganga.
Kwaiyo nikienda kuweka kinga zidi ya uovu wa wachawi au wenye husda napo ni shortcut?
 
Shida mtu anataka akifungua biashara leo, basi kesho afanikiwe.
Shortcut inawaponza wengi wanaenda kutapeliwa huko na waganga.

Sio shortcut tu ni Imani dhaifu
Kuna wengi wanaamini kila tajiri ni uganga na wengi wanapotea hapo
 
Nimekua nikipata maoni ya watu mbalimbali kua ukianza biashara iwe kubwa au ndogo bila kwenda kwa babu ukawekwe sawa basi utakua unasindikiza wenzio. Naombeni maoni yenu wana JF maana tupo na maswali mengi kichwani yasiyo na majibu.
1 wazo

2 sehemu ya kufungulia biashara yako

3 uzoefu

4 mtaji

uchawi hauna nafasi kwenye uchumi
ukitaka kuamini kaloge alafu ukafungue biashara yako polini uone raha yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…