May Day
JF-Expert Member
- May 18, 2018
- 6,311
- 9,027
Unatafutwa kupigwa.Mkuu njoo Dm tuyajenge
Yaani Mtu kakupa kastori chake huenda hata katunga tu wewe unataka kuingia kichwa kichwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unatafutwa kupigwa.Mkuu njoo Dm tuyajenge
Shida mtu anataka akifungua biashara leo, basi kesho afanikiwe.Unaenda kwa mganga yuko hoi na maisha yake kijijini
Unamwambia eti unataka utajiri ankuambia kauwe ndugu unakubali
Anakupa na vitu vya kujipaka unakubali kwa uzezeta wako
La mwisho anakuambia fungua duka mapema na ufunge wa mwisho kumbe huo ndio Uchawi mengine mbwembwe
Na we fala kauwe sasa
Mchawi gani?Kwaiyo nikienda kuweka kinga zidi ya uovu wa wachawi au wenye husda napo ni shortcut?
Shida mtu anataka akifungua biashara leo, basi kesho afanikiwe.
Shortcut inawaponza wengi wanaenda kutapeliwa huko na waganga.
Kwaiyo nikienda kuweka kinga zidi ya uovu wa wachawi au wenye husda napo ni shortcut?
Kuna kaukweli ndani yake
Kwamfano Mimi
1, nilitoka Kijiji kwangu na mtaji WANGU mpka tabora nikafungua biashara ikagoma nikarudi kijijini
2, nikapata mtaji mwengine nukaenda zangu mwanza nikaanza biashara...... ikagoma nikafuliiiiiaaaa nikarudi kijijini
Nikarudi kijijini nikapata mtaji mwengine nukaenda zangu dar nikafungua duka la jumla na rejareja....aisee Basi mtaji ukawa unapungua kila nikijitahidi kupunguza matumizi yasiyo ya lazimaa waaapi....duka linapukuta TU
Basi bwana, Kuna anko WANGU mmoja ndio akaniuma sikio "anko bwana hivhiv huwezi hili duka utafunga TU" ....Basi ndio akanipeleka sehemu
Now naendelea vizuri na nyumba nishajenga
1 wazoNimekua nikipata maoni ya watu mbalimbali kua ukianza biashara iwe kubwa au ndogo bila kwenda kwa babu ukawekwe sawa basi utakua unasindikiza wenzio. Naombeni maoni yenu wana JF maana tupo na maswali mengi kichwani yasiyo na majibu.