Hivi Ni Lini Maisha Yaliwahi Kuwa Rahisi?🤔

Joshua Mbezi

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2024
Posts
1,994
Reaction score
4,446
Wazee wa zamani wakianza kupiga story utasikia wanasema enzi zetu maisha yalikuwa rahisi au mazuri

Ila ukweli ni kwamba wazee wanaosema hivyo ni wahongo hawana tofauti na motivational speaker wa kileo

Kwanini nasema ni wahongo leo nilikuwa nimeketi nikawa na playlist ifuatayo
1: less wanyika
2😀audi Kabaka
3;Remi ingala
4;simba wa nyika
Hawa ni baadhi ya wasanii waliokubalika enzi zile lakini nyimbo za hao ma legend zimejaa malalamiko kuhusu maisha

Na malalamiko mengi ndo yale yale ambayo sisi tunalalamika nayo sasa , kwa mfano

Daudi Kabaka analalamika juu ya taabu ya kukosa kazi

Less wanyika analalamika juu ya taabu ya kukosa hela
Nk
Sasa je ni lini maisha yaliwahi kuwa Rahisi kama hao watu wa zamani bado waliteseka?

Na sisi bado tunaendelea kuteseka je uwepesi wa maisha uko wapi?
 
Maisha hayajawahi kuwa rahisi kwa ujumla. Kila kizazi kilikuwa na shida zake, kinachobadilika ni aina ya shida na namna tunavyozikumbuka.
 
Wazee wa zamani wakianza kupiga story utasikia wanasema enzi zetu maisha yalikuwa rahisi au mazuri

Ila ukweli ni kwamba wazee wanaosema hivyo ni wahongo hawana tofauti na motivational speaker wa kileo

Kwanini nasema ni wahongo leo nilikuwa nimeketi nikawa na playlist ifuatayo
1: less wanyika
2😀audi Kabaka
3;Remi ingala
4;simba wa nyika
Hawa ni baadhi ya wasanii waliokubalika enzi zile lakini nyimbo za hao ma legend zimejaa malalamiko kuhusu maisha

Na malalamiko mengi ndo yale yale ambayo sisi tunalalamika nayo sasa , kwa mfano

Daudi Kabaka analalamika juu ya taabu ya kukosa kazi

Less wanyika analalamika juu ya taabu ya kukosa hela
Nk
Sasa je ni lini maisha yaliwahi kuwa Rahisi kama hao watu wa zamani bado waliteseka?

Na sisi bado tunaendelea kuteseka je uwepesi wa maisha uko wapi?
Wahongo ndio nini?
 
"Shida shida shida shida shida mpaka siku ya mwishooooo...", Mbaraka Mwinshehe.

"Wakati wa ujana wangu Mimi baba yenuuuuuu,
Wakati wa ujana wangu Mimi baba yenuuuuuu,
Shati dukani shilingi sita unapata, kwa hivi sasa shilingi sita hata soda hupatiiii,

Kwa hiyo wanangu fanyeni kazi kwa bidii,

VYOMBO 🎶🎵

Juepusheni na anasa fanyeni kazi kwa bidii,
kama kuna mkorofi kati yenu aache mara Moja..." Ottu Jazz.
 
Hv hyo Tuma ndo alienda masomoni Japan akaishia kuchakatwa mbususu na mjapan 😂😂
 
Kipindi cha Mkapa elfu kumi ya blue ilikuwa na thamani kubwa alivyokuja yule mnafiki ikashuka thamani akaibadilisha ikawa nyekundu,rushwa ikawa waziwazi,laki ikawa siyo pesa.
 
Maisha hayajawai kuwaga rahisi hata siku moja labda ukute umeandaliwa sema sasa pesa haina thamani tofauti na zamani
 
Wazee wa zamani wakianza kupiga story utasikia wanasema enzi zetu maisha yalikuwa rahisi au mazuri

Ila ukweli ni kwamba wazee wanaosema hivyo ni wahongo hawana tofauti na motivational speaker wa kileo

Kwanini nasema ni wahongo leo nilikuwa nimeketi nikawa na playlist ifuatayo
1: less wanyika
2😀audi Kabaka
3;Remi ingala
4;simba wa nyika
Hawa ni baadhi ya wasanii waliokubalika enzi zile lakini nyimbo za hao ma legend zimejaa malalamiko kuhusu maisha

Na malalamiko mengi ndo yale yale ambayo sisi tunalalamika nayo sasa , kwa mfano

Daudi Kabaka analalamika juu ya taabu ya kukosa kazi

Less wanyika analalamika juu ya taabu ya kukosa hela
Nk
Sasa je ni lini maisha yaliwahi kuwa Rahisi kama hao watu wa zamani bado waliteseka?

Na sisi bado tunaendelea kuteseka je uwepesi wa maisha uko wapi?
The onlly easy day was yesterday! Pambana
 
Maisha rahisi ni wakati ukiwa kwenye tumbo la MAMA.

#Hallelujah!!!
 
Back
Top Bottom