Joshua Mbezi
JF-Expert Member
- Oct 18, 2024
- 1,994
- 4,446
Wahongo ndio nini?Wazee wa zamani wakianza kupiga story utasikia wanasema enzi zetu maisha yalikuwa rahisi au mazuri
Ila ukweli ni kwamba wazee wanaosema hivyo ni wahongo hawana tofauti na motivational speaker wa kileo
Kwanini nasema ni wahongo leo nilikuwa nimeketi nikawa na playlist ifuatayo
1: less wanyika
2πaudi Kabaka
3;Remi ingala
4;simba wa nyika
Hawa ni baadhi ya wasanii waliokubalika enzi zile lakini nyimbo za hao ma legend zimejaa malalamiko kuhusu maisha
Na malalamiko mengi ndo yale yale ambayo sisi tunalalamika nayo sasa , kwa mfano
Daudi Kabaka analalamika juu ya taabu ya kukosa kazi
Less wanyika analalamika juu ya taabu ya kukosa hela
Nk
Sasa je ni lini maisha yaliwahi kuwa Rahisi kama hao watu wa zamani bado waliteseka?
Na sisi bado tunaendelea kuteseka je uwepesi wa maisha uko wapi?
Wasiosema ukweli. Yaani siyo wapenzi wa mungu. πWahongo ndio nini?
The onlly easy day was yesterday! PambanaWazee wa zamani wakianza kupiga story utasikia wanasema enzi zetu maisha yalikuwa rahisi au mazuri