Hivi ni lini?

Sidhani kama mtakuja kubadilika kwa sababu wengi akili yao ni kuoata kazi kwenye taasisi kubwa ambazo ndio zina majukumu makubwa ya kuhakikisha amani na usalama na uchumi unakaa vizuri

Ila wao wanawaza wakipata tu hapo wameula kwa kula rushwa mpaka ya ngono
Nilikuwa Airport siku moja huyo muajiriwa alivyopoteza mda wetu kisa kuongea na kasichana kadogo tena bila aibu na mama ya mtoto akisubiri pembeni na sisi tukingoja foleni ila mazungumzo nayasikia

Hao ndio tunawategemea walinde nchi akiwa kapagaishwa na rangi ya msichana na uzuri wake

Hakuna anaewaza kama unavyofikiria mkuu ni wachache sana ambao hawana sauti na wanaonekana viherehere

Takwimu za nchi tajiri duniani za mwaka huu
Hizi ni baadhi tu ya top 25 labda sisi katika top thieves
 
sasa tunatokaje huku mkuu?
 
Sawa mkuu tutaonana mawinguni,

Kama nitawai kufika lakini wewe si unatangulia mm nitachelewa sana usinisubilie uko wewe ukiona pepo nenda ukikuta moto niambie mapema hili nichelewe chelewe huku
 
Kama nitawai kufika lakini wewe si unatangulia mm nitachelewa sana usinisubilie uko wewe ukiona pepo nenda ukikuta moto niambie mapema hili nichelewe chelewe huku
Nikwambie kwa kupitia nini? ushaambiwa ukiingia umeingia hakuna kutoka,
 
Miaka 30 hivi tutakuwa hapo lakini yatupasa kuachana na CCM mapema.
 
Mind set zetu ziko negatively oriented! We are not here to support but instead to discourage each other. Ikionekana mtu kaongea idea nzuri, watu badala ya kumtia moyo wao wanaingiwa na jealousy; kwamba kwanini awe huyu? Wanaoendelea wote sio selfish; they move jointly. Ukimuona mwenzako kaanzisha jambo ambalo unahisi muhimu, toa support na sio kumchukia, au kama kakosea msaidie na sio kumponda. Aliyesema tumelaaniwa hakukosea!
 
huko south africa mkuu wabongo wanakufa sana, but mostly wanuana wao kwa wao mkuu so sad
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…