Mbwilimbwili
Senior Member
- Jun 30, 2020
- 183
- 282
- Ni lini tutakua na taifa la watu ambao tupo concerned na nchi yetu, tunajadili mada nzito nzito?
- Ni lini tutakua na mashindano like top ten ya uzalishaji kiviwanda kwa mikoa?
- Ni lini waziri wa teknolojia atazindua gari la umeme kutoka kampuni ya kitanzania?
- Ni lini vijana wataacha kukimbilia sauzi?
- Ni lini kila mtu atakua proud kuitangaza bendera ya Tanzania?
- Ni lini tutakua na taifa la watu shupavu tusiotetereka?
- Ni lini mtu atatamani kuhama Dar aende Nambunjumbwilu au Vikumbulu?
- Ni lini polisi watakua watu wa kawaida tu kama sisi beside yapower yao kisheria?
- Ni lini madogo watashindana ku-code na kuja na mawazo makubwa?
- Ni lini tuta-launch satellite yetu?
- Ni lini wadada wengi watajitambua?
- Ni lini Watanzania kwenda vacation haitakua kitu cha ajabu?
- Ni lini rangi ya kijani itatoka?