yuda yudae
Member
- Aug 12, 2012
- 7
- 0
i hate them
kuna jembe mmoja wa humu jf
Jamani punguzeni Jam kwenye web ya HESLB hakuna jipya humo leo
Hata wewe ni jembe wa JF, so usiamini kila kinacho wekwa jf vingine sio vya kweli, nenda kamuulize huyo jembe akuambie yeye kajuaje
kweli kaka,ila saivi naona web ya heslb haifunguki. Pengine ndo wanaweka vitu!
kweli kaka,ila saivi naona web ya heslb haifunguki. Pengine ndo wanaweka vitu!