yuda yudae
Member
- Aug 12, 2012
- 7
- 0
Ndugu zangu labda mie ndo sioni wanasema wameachia majina lakini siyaoni kulikoni heslb.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
i hate them
kuna jembe mmoja wa humu jf
Jamani punguzeni Jam kwenye web ya HESLB hakuna jipya humo leo
Hata wewe ni jembe wa JF, so usiamini kila kinacho wekwa jf vingine sio vya kweli, nenda kamuulize huyo jembe akuambie yeye kajuaje
kweli kaka,ila saivi naona web ya heslb haifunguki. Pengine ndo wanaweka vitu!
kweli kaka,ila saivi naona web ya heslb haifunguki. Pengine ndo wanaweka vitu!