Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,715
- 13,739
Ushauri wa nn unaompaNipo likizo yapata wiki moja ...ila nilisafiri kutoka kwangu kuja kwa huyu mzazi wangu.lakini likizo imekuwa chungu natamani tu nirudi nyumbani kwangu kabla ya muda,, kutwa nashinda naongea nampa ushauri namuelekeza kuna baadhi ya mambo naona kabisa anaharibu lakini ni mbishi kwelikweli.........kaaaazi kwelikweli
Aisee kesho nageuzaRudi kwako
Nikifanana nae ndio basi tena kila kitu kitakuwa hovyoPambana mpaka umbadilishe ukishindwa badilika mwenyewe Ili uendane nae
Mzazi wanguMzazi wako au mzazi mwenzio?
Mama au baba?Mzazi wangu
Mama ila nimekuja kugundua wababa wengi huwa na busara na hekima kadiri muda unavyozidi kusogeaMama au baba?
Maisha mkuuUshauri wa nn unaompa
😂kumbe! Kawaida hiyo mkuu,umri unaposogea nao wanazidi kuwa wabishi kweli.Nilikwambia uje tule parachichi Likizo hii but ukanigomea,🙋Mama ila nimekuja kugundua wababa wengi huwa na busara na hekima kadiri muda unavyozidi kusogea
Mpaka hapo ulipofikia ulikuwa unajilea Mwenyewe au?Maisha mkuu
Umri mkuuYaani imekuwa kinyume chake badala ya yeye kunipa ushauri na kuniongoza mimi ndio nashinda nampa ushauri na kumuongoza............