Hivi ni mimi tu au na wengine mnapitia ninayoyaona

πŸ˜‚kumbe! Kawaida hiyo mkuu,umri unaposogea nao wanazidi kuwa wabishi kweli.Nilikwambia uje tule parachichi Likizo hii but ukanigomea,πŸ™‹
Nitakuja mbeya mtoto mzuri kwa ajili yako.....😊😁😁
 
Mama ila nimekuja kugundua wababa wengi huwa na busara na hekima kadiri muda unavyozidi kusogea
WEWE NI MPUMBAVU... HUWEZI KUMZUNGUMZIA MAMA YAKO NAMNA HIYO...

HUYO NI MAMA YAKO... HATA IWEJE NI MAMA YAKO... NI LAZIMA UMSITIRI KWA MAPUNGUFU YAKE...

HATA KAMA HAKUNA ANAYEKUJUA HUMU... MAMA YAKOUMSITIRI HATA UKIWA PEKEE YAKO.. YAANI HATA KUMTUSI KIMOYOMOYO HAIFAI...

NDIO MADHARA YA KUSOMESHA MITOTO SHULE TU... INASHINDWA KUJUA THAMANI ZA MAMA ZAO.
 
Wamezidiana 4 yrs na mama angu.Mama angu kakimbilia mambo ya ulokole ivo umri unavyokwenda anazidi kuwa msikivu na hekima juu
Kidogo mimi mungu amenijaalia pesa ninayo walau kiasi...ningekuwa ni wale vijana wasiokuwa na kitu yaani maisha magumu.....angekuwa ananihamasisha kuvunja maduka ya watu usiku .
.
 
Heri yako wewe usie mpumbavu
 
Kidogo mimi mungu amenijaalia pesa ninayo walau kiasi...ningekuwa ni wale vijana wasiokuwa na kitu yaani maisha magumu.....angekuwa ananihamasisha kuvunja maduka ya watu usiku .
.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚aisee,but mama ni mama.Nenda nae taratibu
 
Aheri yako wewe una mzazi wa kike unapiga nae story, ati unataka kumkimbia mimi mwenzio juzi nimemzika Mama yangu niliyekua nampenda kuliko kitu chochote ilikua niende X-mass kusheherekea nae lakini amewahi mapema.
 
Aisee nimeshakiexprience unacho kisema kiufupi haiwezekani mtoto kumwelekeza mzazi kutokana na jamii zetu zilivyo mtagombana tu

Jaribu kutu mia mbinu zingine nje na kumwelewesha ukishindwa mpende tu hivyohivyo
 
Acha ujinga, kila mtu hukosea haijalishi umri, kwa hiyo kwakua ni mama au bibi mfano wanendekeza mila za ukeketaji utawapa support kwakuwa tu ni wazazi wako?

Hujui kilichomfanya mleta mada aseme haya amesema hivyo tulizana.
 
Mzazi kakuzaa na kukulea mpaka umejitegemea afu leo ulete kiherehere cha kumfundisha la kufanya...?

Sikio halizidi kichwa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…