Hivi ni mimi tu au watu sasa wamebadilika

Usifanye ya watu, wala usijaribu kufikiria ya wengine.

Wafikirie wewe kwa mema yako tu.

Wewe fanya yako kwa roho nyeupe bila kujiwekea vizingiti hewa vya kufikiri kuwa unayoyafikiri wewe ndiyo kila mtu anayafikir au ndiyo yupo hivyi unavyofikiri wewe.


Fikiri nema, waza mema, kuwa na nia njema na tenda mema tu.
 
Asante
 
Mambo yanabadilika kwa kasi mno wazee wa siku zijazo tujiandae mapema kukabiliana na life style ya wakati ujao manake social life na staha kwa wazee itakuwa zero kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…