Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hukuchukua number?Kuna kdada kilinkuta kene sit asubuh af hakkunpa hi,na mim nkakausha,baadae kama saa7 hv safar ikiwa inaendelea kakaanza kusnzia na kunlalia nkakaacha tu,usngiz ulvokata kakaanza kunpgisha story,mpaka nmefka home nilkuwa nanukia perfume yake nakakumbuka,na nilpo ifua nguo hyo bado perfume ilibak,
SKUchukua aisee,ila kalkuwa kako poa sanahukuchukua number?
Ha ha ha ha nmecheka xnWakuu,kwema?
huwa napenda sana nikiwa nasafiri kwenye bus,nikae siti moja na mdada afu huyo mdada akiwa anasinzia awe ananilalia.yan ntatataman safari isiishe.
Cc jje'sInategemea na demu mwenyewe,
Wengine wakikulalia midomo yao inamwaga Ute Maradufu,
Nguo yako yoote itatapakaa harufu kali ya Ugavu
Hku kwe2 wapo mateja wa kike wana Tabia kama hyo, So Ur welcomeWakuu,kwema?
huwa napenda sana nikiwa nasafiri kwenye bus,nikae siti moja na mdada afu huyo mdada akiwa anasinzia awe ananilalia.yan ntatataman safari isiishe.
Ha ha ha mambo ya kident dent sioHujafungua shule tang'ana???
Epuka kabisa hiyo tabia wengi wamelizwa wakiwa safarini au baada ya safariWakuu,kwema?
huwa napenda sana nikiwa nasafiri kwenye bus,nikae siti moja na mdada afu huyo mdada akiwa anasinzia awe ananilalia.yan ntatataman safari isiishe.
Kweli mkuu. Mifano ipo.Epuka kabisa hiyo tabia wengi wamelizwa wakiwa safarini au baada ya safari
Mi nijuacho form five wapo shule so nawonder hii mada!!Ha ha ha mambo ya kident dent sio
Au ndio zege utaachaje namba SasaSKUchukua aisee,ila kalkuwa kako poa sana
Sumtime najfanyaga kama sna njaa na nyapu,huwa nazpotezea,huwa nagonga znazojgongesha zenyewAu ndio zege utaachaje namba Sasa