Hivi ni mimi tu mwenye kukapenda haka katabia ka wadada au nina wafuasi?

tang'ana

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2015
Posts
11,931
Reaction score
15,849
Wakuu,kwema?
huwa napenda sana nikiwa nasafiri kwenye bus,nikae siti moja na mdada afu huyo mdada akiwa anasinzia awe ananilalia.yan ntatataman safari isiishe.
 
Kuna kdada kilinkuta kene sit asubuh af hakkunpa hi,na mim nkakausha,baadae kama saa7 hv safar ikiwa inaendelea kakaanza kusnzia na kunlalia nkakaacha tu,usngiz ulvokata kakaanza kunpgisha story,mpaka nmefka home nilkuwa nanukia perfume yake nakakumbuka,na nilpo ifua nguo hyo bado perfume ilibak,
 
hukuchukua number?
 
Wakuu,kwema?
huwa napenda sana nikiwa nasafiri kwenye bus,nikae siti moja na mdada afu huyo mdada akiwa anasinzia awe ananilalia.yan ntatataman safari isiishe.
Ha ha ha ha nmecheka xn
Aiseee mm sitaki anitemee mimate yake aisee
Mm napenda nikae siti moja na demu mzur alafu awe mcheshi
Tuwe tunapga stor za hapa na pale
Nakumbuka safar ya wiki iliyo pita from Masasi had Dar niliona kama natokea manzese nashukia ubungo vile
Yan demu mzur alafu bila kusita alinidondoshea whatsapp namba
Had leo nachat nae
 
Wakuu,kwema?
huwa napenda sana nikiwa nasafiri kwenye bus,nikae siti moja na mdada afu huyo mdada akiwa anasinzia awe ananilalia.yan ntatataman safari isiishe.
Hku kwe2 wapo mateja wa kike wana Tabia kama hyo, So Ur welcome
 
Yategemeana kama mnaendana, unaweza ukawa naye siti moja ila kila mmoja akawa na mambo yake au mawazo yake halafu hata story mkapishana, wewe uko kimaisha yeye yuko kistarehe zaidi. Ila ukimpata ambaye mko sawa hapo safari inanoga
 
Tan'gana uko vizuri kaka kweli JF home of great thinkers
 
Wakuu,kwema?
huwa napenda sana nikiwa nasafiri kwenye bus,nikae siti moja na mdada afu huyo mdada akiwa anasinzia awe ananilalia.yan ntatataman safari isiishe.
Epuka kabisa hiyo tabia wengi wamelizwa wakiwa safarini au baada ya safari
 
Back
Top Bottom