Hivi ni mimi tu ndio nakereka na hii tabia au tupo wengi

Hivi ni mimi tu ndio nakereka na hii tabia au tupo wengi

Ulaji wangu wa faster huu, hizo pop corn au bites hazichukui round yaani at least soda inaeza nisindikiza.. sijui mnawezaje ndugu zangu
tatizo wewe mapopcorn unayalia njaa🤣🤣

Unakuwa na soda na popcorn.😃
 
Umenirudisha home asee yaani ukianza kuhadithia tu. Raia wanakuvamia kwa madongo na kama una roho ndogo unaweza kutoka [emoji23][emoji23]
Safi sana[emoji23][emoji23]
 
tatizo wewe mapopcorn unayalia njaa🤣🤣

Unakuwa na soda na popcorn.😃

😂😂😂😂 hapana asee.. kwanza siez kula pop corn nikiwa na njaa, ntatekenya utumbo tu

Na Soda inanyweka peke ake na kwa siku maalumu maana huwa sipendelei vitu vya sukari.

Asa unipe pop corn nile kwa kubembeleza. Huo uzungu siuwezi
 
Ila mimi huwa ni mpenzi wa karanga hasa mbichi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndugu yangu umenichoka ila suggestion bado nzuri.. mbona ya ikikatwa fresh, ikapozwa kwa fridge ni hatari
Hahaha umenipa ujanja, kupooza miwa kwa fridge? Sijawahi kufikiria
 
Back
Top Bottom