Sweta LA Tanzania
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 897
- 2,835
Nipo naangalia Cannibal holocaust hatari sanaShangazi unaangaliaga pia movie za kutisha(horror)?
Popcorn tena!! Si sinema hapo sasaππRaha ya kuangalia movie kila mtu awe kimyaa. Sauti ya tv na meno tu yanayotafuna popcorn ndio visikike.
Hii mida ndio inakuwaga mizuri kuangalia horror movie.Nipo naangalia Cannibal holocaust hatari sana
Kwani hata ukiwa home haziliki?Popcorn tena!! Si sinema hapo sasaππ
Raha ya kuangalia movie kila mtu awe kimyaa. Sauti ya tv na meno tu yanayotafuna popcorn ndio visikike.
tatizo wewe mapopcorn unayalia njaaπ€£π€£Ulaji wangu wa faster huu, hizo pop corn au bites hazichukui round yaani at least soda inaeza nisindikiza.. sijui mnawezaje ndugu zangu
Nina mdogo wangu anatabia hiyo..akianzaga kelele zake namkata jicho mwenyewe anakaa kimya..siipendi hiyo tabia na inakera mno.
Sent using Jamii Forums mobile app
yaani saa hizi nasikia mpaka movement huko njeHii mida ndio inakuwaga mizuri kuangalia horror movie.
Bila shaka hiyo movie umeishusha leo baada ya kusoma kwenye uzi mmoja hivi.
tatizo wewe mapopcorn unayalia njaaπ€£π€£
Unakuwa na soda na popcorn.π
We nunua tu miwa ndugu yangu [emoji23][emoji23][emoji23]
Ila mimi huwa ni mpenzi wa karanga hasa mbichi.ππππ hapana asee.. kwanza siez kula pop corn nikiwa na njaa, ntatekenya utumbo tu
Na Soda inanyweka peke ake na kwa siku maalumu maana huwa sipendelei vitu vya sukari.
Asa unipe pop corn nile kwa kubembeleza. Huo uzungu siuwezi
Ila mimi huwa ni mpenzi wa karanga hasa mbichi.