Ila wewe πππππππ
Unizoee ..nakaribia hapo
ππππIla wewe πππ
Haha kumbe!! Basi hafai huyo....nitakuwa namuita ashuhudie fujo tu ila sio kuingia uwanjani π
Mapema yote hii? ππππππ
Goodnight babe
Nina kausingizi hapa hatari..ππMapema yote hii? ππ
Lala uamke saa 7Nina kausingizi hapa hatari..ππ
Hata hiyo saa saba sitaki kuamkaLala uamke saa 7
Bado unaendeleaje kuniqoute!! ππMimi zanikosesha usingizi kabisaaa Bora huyo zinamuamsha
Pole sana πππππ
Unajifanya hupendi lakini ninyi ndio mabingwa wa kuangalia Movie za LUFUFU.Habari wanaJf, poleni na mapambano dhidi ya corona.
Kwa wale wenzangu na mimi wapenda movie/ tamthiliya mnaweza kuwa mmekaa mnaangalia movie yenu anakuja mtu ambae tayari alishaiangalia anaanza 'hao wanaopigana hapo baadae watakuja kupatana' au ' huyo hapo baadae atakufa'
Hii tabia kiukweli inakera sana unatamani umtie vibao huyo anayeongea maana mimi ukishaniambia hivyo hamu yote ya kuangalia movie inakata. Nianze kuangalia nini tena wakati nimeshajua mbele kinatokea nini?
Halafu hii ipo sana kwa watu wa uswahilini sijui tupoje yaani