Hivi ni mimi tu ninayenyimwa tendo la ndoa na Mke wangu? au wengine mpo?

Hivi ni mimi tu ninayenyimwa tendo la ndoa na Mke wangu? au wengine mpo?

Ni mimi tu ninaemuomba mke wangu tendo la ndoa au tuko wengi kwangu imekuwa ajabu sana, kila ninapotaka tendo la ndoa nimuombe mke wangu tena inafika hatua ya kumbembeleza kabisa ile anipe mambo, kipindi ndoa mpya tulikuwa tunafanya kila siku ila now days mpaka uombe tena inafika kipindi tunakaa mpaka wiki sipati kitu.

Na likuwa kila asubuhi lazima anipe ndo niende kazini ila siku hizi naondoka kapa kabisa ukimuamsha asubuhi anadai ana usingizi 😁 na anajua kabisa ile kitu naipenda, nikimuuliza mbona mwanzoni ulikuwa unanipa bila ya kukuomba tena ulikuwa unanitegeshea tu ana dai ile ilikuwa mwanzo.

Soma Pia: Hii wiki sasa inatimia mke wangu ananinyima tendo la ndoa!
Hakuna ndoa hata moja haijapitia hilo ninkawaida kukutokea kukosena ndio upendo wenyewe unavyo jengwq kuombana msamaha na kupembelezana
 
Kama ana njemba inayomshughulikia huko nje andika umeumia, ila kama hana mbembeleze tu, wanawake ni kitu kidogo tu cha kumfurahisha.
 
Back
Top Bottom