Hivi ni mimi tu ninayesumbuliwa na baadhi ya ex's wangu?

Hivi ni mimi tu ninayesumbuliwa na baadhi ya ex's wangu?

kiss ov love

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2025
Posts
9,388
Reaction score
16,188
Guys hakuna kutiki oktoba.

Moja kwa moja kwenye point, ipo hivi asilimia kubwa ya maex zangu huwa wananitafuta na kujifanya wanataka kurudi wamegundua mimi ndiye nilikuwa sahihi kwao.

Bahati mbaya ni kwamba nikishafunika kurasa, huwa nachana kabisa hiyo karatasi, kuna huyu ex wangu mmoja mimi ndiye nilimuacha kwasababu zilizokuwa nje ya uwezo wangu kwa wakati huo.

Ni miaka mitatu nyuma, sasa hii wiki ameanza kunisumbua anataka kurudi, vimeseji vya mahaba kila dakika, naonaga anapoteza muda tu kwangu mimi ni bora kuanza upya kuliko kuwa naye.

Hivi huwa wanarudi kufanya nini tena kwenye maisha yetu hawa viumbe?
 
As long as mlishavuana nguo.....bado unaikumbuka namba yake.....bado unapokea meseji zake......na mpaka umekuja kutuambia hapa.....bado ana nafasi moyoni mwako.....na tukio la yeye kurudi kwako ni tukio special ulilokuwa unalisubiria kwa hamu kubwa.........

BADO UNAMPENDA!
 
Bahati mbaya ni kwamba nikishafunika kurasa, huwa nachana kabisa hiyo karatasi....
Why do you still have your ex's phone numbers? Why do they still have access to you? What do you expect from them? Healing? Money? Moral support? Dick? Obviously the problem here is you....

Achilia mbali kufunika kurasa na kuchana karatasi, wewe uwa hunatunza daftari zima kabisa kama souvenir. Na mwanamke hanayetunza namba za ma-ex zake na kuendelea kuwasiliana nao essentially ni malaya!

Please respect yourself 🙏🏿
 
Back
Top Bottom