Loly
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 522
- 221
Wapendwa marafiki zangu wana jf, naombeni mnijuze haya mambo kwenye mapenzi yanakuaje ni hivi kuna wasichana wana wapenzi wao lakini wana mabuzi cha ajabu wanaweza kuwahendo wote na wapenzi wao hawajui nawanakua huru na mabuzi yao kama kawaida bila mupenzi kumbabaisha. Sasa huwa najiuliza mbona mimi sifanikiwi kwa hilo? Yaani nikiwa na mupenzi simu yangu tuu ikiita anasikiliza mwanzo mwisho nakama ni maöngezi yakijinga anataka kuikwapua simu yangu aipasuepasue au ugomvi unakua mkubwa wakutaka kuachana kabisa mpaka ni mpooeze nimueleweshe atakama ni mtu aninitongoza inakuwa tabu kwangu pale mupenzi anapojua kuna kipindi fulani kama miaka minne nyuma hivi nikawa mambo ya hawa vijana yanataka kunishinda maana
wana wivu sana kwahiyo presha evri dei, shoga angu mmoja akanishauri bora nitafute buzi moja nilichuneee halitanisumbua nitalipeleka ninavyotaka mimi mhh yaani lilikuwa na wivu balaa kuliko hata vijana hadi likawa linataka niachane na mupenzi simu ndio usipime linanibana kupindukia na mimi sikuwa nataka watu wajue lakini lenyewe halijali uuuhh sinikaona hii nuksi ikabidi niliteme tuu niendelee na mupenzi sasa najiuliza hivi nina nuksi au? mbona wenzangu wanaume/wapenzi wao hata wakijua wanachanganywa hawaachwi ila mimi nikithubututuu hata kuzaniwa mapenzi yanakua hatarini kusitishwa jamani hivi ni mimi tuu au kuna wenzangu mko hivi?
Mchango wenu jamani
0