rafiki shauriana na halmashauri yako ya kichwa......mambo ya kuiga flani yana madhara sana so uwe mwangalifu.....maisha haya mabuzi au mwanamme zaidi ya mmoja yatakusaidia nini zaidi ya kuja kujijutia tuu nafsi yako badae...kua muaminifu kwa uliekua nae achana na hayo mashikolo sijui wenzangu sijui nani....umezaliwa peke yako na mambo yanavokuendea ndo ivo yalivo acha kuiga waswahili wanasema IGA UFE
Tatizo lipo kwenye selection criteria yako ambayo inakuletea vichwa ngumu watupu bila kujali umri. Inaonekana wewe ama unawavutia au unavutiwa na watu wa aina hiyo ya wivu.
Tatizo lipo kwenye selection criteria yako ambayo inakuletea vichwa ngumu watupu bila kujali umri. Inaonekana wewe ama unawavutia au unavutiwa na watu wa aina hiyo ya wivu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.