Hivi ni mimi tuu? Au labda na nyie?

Loly

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2011
Posts
522
Reaction score
221
Wapendwa marafiki zangu wana jf, naombeni mnijuze haya mambo kwenye mapenzi yanakuaje ni hivi kuna wasichana wana wapenzi wao lakini wana mabuzi cha ajabu wanaweza kuwahendo wote na wapenzi wao hawajui nawanakua huru na mabuzi yao kama kawaida bila mupenzi kumbabaisha. Sasa huwa najiuliza mbona mimi sifanikiwi kwa hilo? Yaani nikiwa na mupenzi simu yangu tuu ikiita anasikiliza mwanzo mwisho nakama ni maöngezi yakijinga anataka kuikwapua simu yangu aipasuepasue au ugomvi unakua mkubwa wakutaka kuachana kabisa mpaka ni mpooeze nimueleweshe atakama ni mtu aninitongoza inakuwa tabu kwangu pale mupenzi anapojua kuna kipindi fulani kama miaka minne nyuma hivi nikawa mambo ya hawa vijana yanataka kunishinda maana
wana wivu sana kwahiyo presha evri dei, shoga angu mmoja akanishauri bora nitafute buzi moja nilichuneee halitanisumbua nitalipeleka ninavyotaka mimi mhh yaani lilikuwa na wivu balaa kuliko hata vijana hadi likawa linataka niachane na mupenzi simu ndio usipime linanibana kupindukia na mimi sikuwa nataka watu wajue lakini lenyewe halijali uuuhh sinikaona hii nuksi ikabidi niliteme tuu niendelee na mupenzi sasa najiuliza hivi nina nuksi au? mbona wenzangu wanaume/wapenzi wao hata wakijua wanachanganywa hawaachwi ila mimi nikithubututuu hata kuzaniwa mapenzi yanakua hatarini kusitishwa jamani hivi ni mimi tuu au kuna wenzangu mko hivi?

Mchango wenu jamani













































0
 
hizi sred ambazo mabinti mnaamua kabisa kwa akili yenu kujidhalilisha.. sizipendi.. zaniharibia siku yangu.. cjui kwa nin nimeisoma
 
Walishe limbwata wenzako wana2mia ku2pumbaza. Na ww kama waweza nenda kwa sangoma.
 
hizi sred ambazo mabinti mnaamua kabisa kwa akili yenu kujidhalilisha.. sizipendi.. zaniharibia siku yangu.. cjui kwa nin nimeisoma
<br />
<br /> weweee nimejidhalilisha kivipi? Au hujasoma vizuri ukaelewa
 
Ng'ang'ania ulicho nacho binti kwa mtaka yote kwa pupa unaweza kuambulia sifuri. Na tamaa ilimuua mzee fisi.
 
Kwani mupenzi wako ni mkali sana?
 
Sina cha kuchangia!!
 
yaani wala hujui ulichoandika .. wewe mzima kweli?????

 
<br />
<br />
mkuu uweke haya ili iwe rahisi kuisoma duu..
 
Mtafute Nazjaz akupe semina elekezi, jinsi ya kuipanga midume kama ifuatavyo:
1. Huyu ni ATM
2. huyu ni wakutoka nae sehemu unazoona mnamatch mkiwa pamoja
3. Huyu ni mtaalam wa kukikuna kipere G, na kuigonga ngozi inavyotakiwa, haijarishi hata kama anavaa kandambili.
Hapo ndio mboga inaiva vizuri kwa kutumia hiyo fomula ya mafiga matatu.
 
Kwa hiyo unatafuta mbinu za kuwa na wanaume wengi sio?mwanamke kuzidisha wanaume utakongoroka kama chuma chakavu
 
Wewe mdada sijui,2lia!mabuz yatakupotezea bahat.wenzio wanatafta hta huko kuonewa wivu hawapat.TULIA TOTITO
 
Kwa sababu umeshajitambulisha wewe ni msichana mwenye tabia gani nitakuelekeza cha kufanya
  • Ukipata hilo unaloliita buzi mwambie kama anapenda kuwa na wewe poa lakini wewe ni mke wa mtu
  • Mpe muda wa kukupigia simu, na mara nyingi uwe unampigia wewe
  • usioneshe wivu kwake kama nae ana mke au mpenzi mwingine
  • uwe unaonyesha kutaka kujua hali mpenzi mwingine wa huyo buzi lako
  • namba yake usiisave kwa jina lake ukiweza uikalili na ukitaka kumpigia iwe inatoka kichwani, hii itasaidie hata jamaa yako origino akiiona utamwambia mi siijui is a new #
  • pia mwambie ukimpigie simu akipokea asiongee mpaka asikie sauti yako, ili kama jamaa akikushika na akaamua kupiga kwa kutumia namba yako ya simu iwe ngumu kugundua na ikiwezeka majibu yale ni wrong namba
  • kama buzi lako litakuletea matatizo ya demu wake mwingine usimshauri kwa kuonyesha kuwa hafai
  • usitaka sana kumchuna
  • ukiona mtu mwenye sifa hizo huwezi kupata ambae, mimi ninazo na nipo tayari kuwa nawe ni pm
  • lakini na mimi nina mke
  • na usitarajie pesa kutoka kwangu
 
Hapo kwenye bold kumenifanya niikubali nick name yako
 
hbu acha u..ma...la...ya..............huh,had aibu yani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…