rafiki shauriana na halmashauri yako ya kichwa......mambo ya kuiga flani yana madhara sana so uwe mwangalifu.....maisha haya mabuzi au mwanamme zaidi ya mmoja yatakusaidia nini zaidi ya kuja kujijutia tuu nafsi yako badae...kua muaminifu kwa uliekua nae achana na hayo mashikolo sijui wenzangu sijui nani....umezaliwa peke yako na mambo yanavokuendea ndo ivo yalivo acha kuiga waswahili wanasema IGA UFE