Hivi ni mji gani mdogo Tanzania unaouzidi Makambako kibiashara na miundombinu kama Barabara za mtaani

Hivi ni mji gani mdogo Tanzania unaouzidi Makambako kibiashara na miundombinu kama Barabara za mtaani

Hivi ni kuna mji gani mdogo Tanzania unaouzidi Makambako kibiashara na miundombinu kama Barabara za mtaani?
Hilo nalo ni swali unalotaka lijibiwe?
Haujaweka mapato yatokanayo na biashara, haujaweka ukubwa wa eneo, population na hizo km za barabara unazozifia halafu unataka wakujibu?
 
Back
Top Bottom