Hivi ni mji gani mdogo Tanzania unaouzidi Makambako kibiashara na miundombinu kama Barabara za mtaani

Hivi ni mji gani mdogo Tanzania unaouzidi Makambako kibiashara na miundombinu kama Barabara za mtaani

Tembelea Mafinga na Tunduma
Zote zipo njia moja na Makambako, halafu ndio ujifunze vyotee

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Hivi ni kuna mji gani mdogo Tanzania unaouzidi Makambako kibiashara na miundombinu kama Barabara za mtaani?
Kwanza unaposema Mji mdogo una maanisha nini? Au unalinganisha na wapi?

Makambako ni TC ambapo Kwa standards za Tanzania sio Mji mdogo maana una wakazi zaidi ya 150,000.

By the way Miji inayochipukia Iko Mingi tuu mfano Katoro ya Geita ,Majimoto, Morogoro huko Iko Mingi sana ,Kibaya nk
 
Vifremu vya Makambako ni kama vibanda ya kufugia njiwa😁
 
Makambako inazidiwa vizuri na Kahama kwa kila kitu. Inazidiwa kibiashara na Tunduma. Inaizidi Tunduma Miundo Mbinu ila Tunduma inaizidi kibiashara. Inaizidi Mafinga miundo mbinu ila kibiashara zinalingana. Inafanana kimiundo mbinu na Babati lkn inaizidi Babati kibiashara. Inazidiwa kila kitu na Mpanda japo Mpanda na Babati ni makao makuu ya mikoa ila shughuli za kiutawala siku hizi hazina mchango significant.
 
Tembelea Mafinga na Tunduma
Zote zipo njia moja na Makambako, halafu ndio ujifunze vyotee

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Hii si miji midogo ni tc Ki biashara makambako inazidiwa na tunduma tu ila kwa majengo na miundombinu ya lami za mitaani haifiki
 
Hivi ni kuna mji gani mdogo Tanzania unaouzidi Makambako kibiashara na miundombinu kama Barabara za mtaani?
Kwa Sasa kwa halmashauri za miji hususa nyanda za juu kUsini kwa miundombinu ya lami hakuna mji UNAO GUSA eneo kubwa lami zimesambaaa na eneo la biashara limetanuka mno
 
Back
Top Bottom