Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 6,958
- 16,358
Shughuli za biashara zinazofanyika Makambako utalinganisha na Vikindu?Vikindu hiyo, nakataa,zile barabara vumbi tu,Makambako barabara nyingi zina Kototo au rami,
Kwanza unaposema Mji mdogo una maanisha nini? Au unalinganisha na wapi?Hivi ni kuna mji gani mdogo Tanzania unaouzidi Makambako kibiashara na miundombinu kama Barabara za mtaani?
Hakuna Mji mdogo hapo1. Kahama
2. Makambako
3. Tunduma
4. Karatu
5. Mafinga
6. Mbinga
7. Katoro
8. Kasulu
Kahama ni Mji mdogo?Labda kahama
Tunduma imeizidi Makambako kibiashara kwaajili ya mpaka. Miundo mbinu ni hovyo sana.Umefika Tunduma au Vikindu?
Vifremu vya Makambako ni kama vibanda ya kufugia njiwa😁Kwanza unaposema Mji mdogo una maanisha nini? Au unalinganisha na wapi?
Makambako ni TC ambapo Kwa standards za Tanzania sio Mji mdogo maana una wakazi zaidi ya 150,000.
By the way Miji inayochipukia Iko Mingi tuu mfano Katoro ya Geita ,Majimoto, Morogoro huko Iko Mingi sana ,Kibaya nk
To control flow?,,hoja ya mdau umeilewa ina zungumzia mambo mangapi,?,Shughuli za biashara zinazofanyika Makambako utalinganisha na Vikindu?
Amegusia biashara na miundombinu, hapo nimejibu hoja ya biasharaTo control flow?,,hoja ya mdau umeilewa ina zungumzia mambo mangapi,?,
Tunduma haina miundo mbinu ya barabara kama Makambako. Haina nyumba bora za biashara kama Makambako. Lakini ina mzunguko wa pesa na mchanganyiko wa watu kuliko Makambako.Umefika Tunduma au Vikindu?
Hivi kati ya mbinga na masasi wapi kuna mzinguko mkubwa wa pesa?1. Kahama
2. Makambako
3. Tunduma
4. Karatu
5. Mafinga
6. Mbinga
7. Katoro
8. Kasulu
MasasiHivi kati ya mbinga na masasi wapi kuna mzinguko mkubwa wa pesa?
Hii si miji midogo ni tc Ki biashara makambako inazidiwa na tunduma tu ila kwa majengo na miundombinu ya lami za mitaani haifikiTembelea Mafinga na Tunduma
Zote zipo njia moja na Makambako, halafu ndio ujifunze vyotee
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Kwa Sasa kwa halmashauri za miji hususa nyanda za juu kUsini kwa miundombinu ya lami hakuna mji UNAO GUSA eneo kubwa lami zimesambaaa na eneo la biashara limetanuka mnoHivi ni kuna mji gani mdogo Tanzania unaouzidi Makambako kibiashara na miundombinu kama Barabara za mtaani?