NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Sidhani Kama ni mbinu sahihi katika mpira wetu wakati tuna kikosi kibovu Cha timu ya Taifa (taifa stars).
Ovyo kabisa.
Ovyo kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli mzeeKuna mmoj kaligand zake pale
ene wei
Michuano ya fainali hapa nchini kombe la shirikisho mbinu Kama hizo zilikuwa wapi tena wanafanya wazi wazi kabisa.Tena wanarusha mipira mingi hadi inaonekana kabisa ni makusudi. Mpira mmoja wa ziada unatosha kusimamisha mchezo.
Na huu uhuni ni kwenye vilabu siyo kwenye timu za taifa. Shenzi kabisa.
Hii kitu nmeishangaa sana tena hao vijana bado wakatunisha vifua na kumcheka Referee Kwa dharau nmechukizwa sana na hao vijana kuiga tabia za ajabajab.Sidhani Kama ni mbinu sahihi katika mpira wetu wakati tuna kikosi kibovu Cha timu ya Taifa (taifa stars).
Ovyo kabisa.
Atakuwa yule msomali. Si unajua jinsi uwezo wake wa kufikiria ulivyo finyu?Sidhani Kama ni mbinu sahihi katika mpira wetu wakati tuna kikosi kibovu Cha timu ya Taifa (taifa stars).
Ovyo kabisa.
Ingekua kwa waarabu sawa, hawa Niger kuwaonea.Mimi nimefurahi meseji imetumwa CAF kwamba wote tunaweza kukosa ustaarabu bila kujali rangi zetu. Ustaarabu wetu umekuwa ukitumiwa vibaya na waarabu na CAF wako kimya.
Hakuna kitakachobadili matokeo zaidi ya faini kama Niger watalalamika au Mwamuzi ataliweka kwenye ripoti yake,
But all in all message sent.
Tatizo ni kuwa waliofanyiwa vile sio Waarabu, wamefanyiwa watu waungwana wasio na hatia wa historia za fitna za aina hiyo.Mimi nimefurahi meseji imetumwa CAF kwamba wote tunaweza kukosa ustaarabu bila kujali rangi zetu. Ustaarabu wetu umekuwa ukitumiwa vibaya na waarabu na CAF wako kimya.
Hakuna kitakachobadili matokeo zaidi ya faini kama Niger watalalamika au Mwamuzi ataliweka kwenye ripoti yake,
But all in all message sent.
Umechukizwa kwa hawa wa kwenu ila ungefanikiwa kuangalia Yanga walivyofanyiwa kule kwa waarabu and the same B.B sijui unasemaje?.Hii kitu nmeishangaa sana teba hao vijana Bado wakatunisha vufua na kumcheka Referee Kwa dharau nmechukizwa sana na hao vijana kuiga tabia za ajabajab.