Hivi ni mpuuzi gani aliyewaambia ball boys wa Tanzania kufanya ujinga kama huu wa kurusha mipira miwili miwili uwanjani?

Hivi ni mpuuzi gani aliyewaambia ball boys wa Tanzania kufanya ujinga kama huu wa kurusha mipira miwili miwili uwanjani?

Wamejifunza Algeria
Na mnaenda kukutana na Algeria. Ila tulionesha udhaifu wa kuzidiwa kiasi Cha kuhitaji msaada wa ball boys. Halafu mambo ya vilabu tusilete kwenye timu ya Taifa.
 
CAF imeshindwa kuendesha mpira mechi ya Yanga na USM Alger yalotikea matukio ya ajabu nikadhani watajifunza ndani ya wiki hio hio yakajirudia mechi ya Wydad Vs Al Ahly tena mbele ya Rais wa CAF
Hayo ni mambo ya vilabu. Kwenye timing ya Taifa mmefanyiwa uhuni gani kiasi Cha kurusha mipira mingi uwanjani mechi ikiendelea.
 
Tatizo ulikuwa unaangalia mpira ili tufungwe.Wale madogo wanaangalia mipira sana haijawahi tokea akini baada waarabu kutufanyia vile wakati wa mechi ya Yanga na USM Algier na kwa hakuna adhabu umetolewa inaonekana ni halali.CAF wamekuwa na upuuzi sana wa kuwabeba waarabu.
Watanzania tuna ulimbukeni Sana. Yani mambo ya vilabu tunaleta kwenye timu ya Taifa?. Yanga kahujumiwa na USM Algier, malipizi kwa timu ya Taifa ya Niger ambao hawahusiki. Sasa inaenda kukutana na Algeria.
 
Lazima tukomoane....... Caf wenyewe hawana time we UNADHAN ukitia huruma kuna mtu wa kukuhurumia. Mkuu kuna situations zingine bila kujipambania utaumia sana just imagine ile mechi ya yanga kuna chochote yanga walichokipata zaid ya kugongwa. Wale caf hawana tym na mtu kila mtu ajipambanie.....

Survival for the fittest
Mnaleta mambo ya Yanga kwenye timu ya Taifa?
 
Wabongo nanyi mnapenda kulia lia sana

Mbona yanga walifanyiwa hivo hamkuanzisha uzi kulalamika
Dah! Yanga wafanyiwe na USM Algier halafu Taifa Stars ilipize kwa Niger mbona vitu viwili tofauti. Tena kwa kurusha mipira mitatu uwanjani wakati mchezo upo kwenye move.
 
Dah! Yanga wafanyiwe na USM Algier halafu Taifa Stars ilipize kwa Niger mbona vitu viwili tofauti. Tena kwa kurusha mipira mitatu uwanjani wakati mchezo upo kwenye move.
Hili jamaa shamba kweli.
 
Nani kaja na sheria kuwa ni kwenye vilabu tu. Kama CAF hawawezi kuukemea uhuni huu acha pachafuke.

Yanga hasira zenu za kukosa kombe la losers msizipeleke kwenye timu ya taifa. Msiwe kama watoto.

Simba kaanza kufanyiwa uhuni na waarabu toka miaka ya 1970s, ila wanaume wanakomaa, wanajifunza, wanasubiri siku nyingine. Sasa nyie maumivu yenu mnataka tudhurike wote.
 
Dah! Yanga wafanyiwe na USM Algier halafu Taifa Stars ilipize kwa Niger mbona vitu viwili tofauti. Tena kwa kurusha mipira mitatu uwanjani wakati mchezo upo kwenye move.
Ulitaka ilipizwe kwa nani?
 
Back
Top Bottom