Na mnaenda kukutana na Algeria. Ila tulionesha udhaifu wa kuzidiwa kiasi Cha kuhitaji msaada wa ball boys. Halafu mambo ya vilabu tusilete kwenye timu ya Taifa.Wamejifunza Algeria
Uganda Alistair kusonga sio sisi. Niger Wangekuwa serious wangetufunga goli nyingi.Sisi hatuna timu. Tuna wezi wa kuku mitaani!
Hayo ni mambo ya vilabu. Kwenye timing ya Taifa mmefanyiwa uhuni gani kiasi Cha kurusha mipira mingi uwanjani mechi ikiendelea.CAF imeshindwa kuendesha mpira mechi ya Yanga na USM Alger yalotikea matukio ya ajabu nikadhani watajifunza ndani ya wiki hio hio yakajirudia mechi ya Wydad Vs Al Ahly tena mbele ya Rais wa CAF
Hata wao Algeria ndivyo wanavyofanya kule kwao tambua mpira wa afrika bingwa huwa anapatikana kwa uhuni mwingi ndani yakeHaya Sasa mnakutana na Algeria.
Lazima tuwe wa kushika mkiaMwishoni tulizidiwa Sana mpaka ball boys wakaingia kuokoa jahazi.
Watanzania tuna ulimbukeni Sana. Yani mambo ya vilabu tunaleta kwenye timu ya Taifa?. Yanga kahujumiwa na USM Algier, malipizi kwa timu ya Taifa ya Niger ambao hawahusiki. Sasa inaenda kukutana na Algeria.Tatizo ulikuwa unaangalia mpira ili tufungwe.Wale madogo wanaangalia mipira sana haijawahi tokea akini baada waarabu kutufanyia vile wakati wa mechi ya Yanga na USM Algier na kwa hakuna adhabu umetolewa inaonekana ni halali.CAF wamekuwa na upuuzi sana wa kuwabeba waarabu.
Mnaleta mambo ya Yanga kwenye timu ya Taifa?Lazima tukomoane....... Caf wenyewe hawana time we UNADHAN ukitia huruma kuna mtu wa kukuhurumia. Mkuu kuna situations zingine bila kujipambania utaumia sana just imagine ile mechi ya yanga kuna chochote yanga walichokipata zaid ya kugongwa. Wale caf hawana tym na mtu kila mtu ajipambanie.....
Survival for the fittest
Kwa kurusha mipira mitatu uwanjani wakati mpira unaendelea? Wala haujatoka.Vijana wapo sahihi kabisa, wapewe maua yao kwa uzalendo uliotukuka.
Na tukifanyiwa Tena tusilalamike.Hii nchi wajinga ni wengi sana, kwahiyo tungefanyiwa sisi ungekenua meno tu?
Hawapo sahihi, maana kile kitendo kitawafanya Niger walipize kisasi kwa kuwaachia Uganda ili wapite.Vijana wapo sahihi kabisa, wapewe maua yao kwa uzalendo uliotukuka.
Hatuna timu pale hata ligi yetu ni maarufu kwasababu ya wachezaji kutoka nje.Hivi akina Samatta wameshindwa kabisa kutufuta machozi?
Dah! Yanga wafanyiwe na USM Algier halafu Taifa Stars ilipize kwa Niger mbona vitu viwili tofauti. Tena kwa kurusha mipira mitatu uwanjani wakati mchezo upo kwenye move.Wabongo nanyi mnapenda kulia lia sana
Mbona yanga walifanyiwa hivo hamkuanzisha uzi kulalamika
Una uhakika ya Yanga yalikuwa kama ya Taifa jana??Mbona Yanga walifanyiwa hivo haukuharibika?
Wabongo tupunguze kulalamika
Hili jamaa shamba kweli.Dah! Yanga wafanyiwe na USM Algier halafu Taifa Stars ilipize kwa Niger mbona vitu viwili tofauti. Tena kwa kurusha mipira mitatu uwanjani wakati mchezo upo kwenye move.
Sio ball boys ni mascotsSidhani Kama ni mbinu sahihi katika mpira wetu wakati tuna kikosi kibovu Cha timu ya Taifa (taifa stars).
Ovyo kabisa.
Nani kaja na sheria kuwa ni kwenye vilabu tu. Kama CAF hawawezi kuukemea uhuni huu acha pachafuke.
SijuiUna uhakika ya Yanga yalikuwa kama ya Taifa jana??
Ulitaka ilipizwe kwa nani?Dah! Yanga wafanyiwe na USM Algier halafu Taifa Stars ilipize kwa Niger mbona vitu viwili tofauti. Tena kwa kurusha mipira mitatu uwanjani wakati mchezo upo kwenye move.