Kingfish23
JF-Expert Member
- Aug 22, 2022
- 490
- 485
Uzuri sheria za mpira ni zile zile hazina timu ya mugosha au inamilikiwa na Kijiji cha kina mugosha au nchi aliyotoka mugosha ni zile zile so tukio la Yanga na Taifa Star yote ni matukio yasiyotakiwa kwenye uwanda wa soka.Tunaongelea timu za taifa braza zinazowakilisha nchi, sasa hao Yanga hata wakifanywa lolote Kwani wanamwakilisha nani zaidi ya kujiwakilisha wenyewe?
Wamejifunza CAF, fainli za CAF, nyota njema huanza asubuhiSidhani Kama ni mbinu sahihi katika mpira wetu wakati tuna kikosi kibovu Cha timu ya Taifa (taifa stars).
Ovyo kabisa.
Kwenye hizi mbinu za mipira kuna mawili yanaweza kufanyika. Moja ni kuficha mipira, mpira ukitoka inachukua muda wapinzani kupata mpira wa kuendelea na mchezo. Ya pili ni hii ya kurusha mipira miwili uwanjani ila inahitaji umakini ili ionekane kama ni bahati mbaya. Kilichofanyika juzi ni uzwazwa wa kiwango cha juu sana.Nawaunga Mkono.
Ball Boys tutawakumbuka sana tukifuzu.
Next time Yanga na Simba wachukue hili