Hivi ni mwanamke gani humu jf unafikiri anapendwa sana ?

Anayependwa zaidi ni ISIS sababu ana likes kuliko mwanamke yeyote humu JF meaning hata akikohoa kuna Pundaz zitalike!.. Hawa wengine wote ni Upendo wa miezi tu!.. Anayepinga aje na sababu!.
Ila bebe mama Shunie nae yupo Top 3!..🙂
 
Baby daddy umeanza lini ubishi halafu uje kule
Anayependwa zaidi ni ISIS sababu ana likes kuliko mwanamke yeyote humu JF meaning hata akikohoa kuna Pundaz zitalike!.. Hawa wengine wote ni Upendo wa miezi tu!.. Anayepinga aje na sababu!.
Ila bebe mama Shunie nae yupo Top 3!..🙂
 
Hahahaa. Naona unaisemea akili yangu duuh.

Itakuwa hivyo basi.
Wewe kama ndio huyo kwenye avatar,sikufichi wewe ni mzuri ajabu,yaani mnubi sio mnubi,muhabeshi sio muhabeshi ili mradi umekamilika tu.
 
Nyie mnaoitana PM mnatuyumbusha mjue na kutupa tashiwishi !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…