Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,155
- 35,683
Pm au hapa?Ngoja nikutext [emoji23][emoji23][emoji23]
Nataka nijue
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pm au hapa?Ngoja nikutext [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] kwanini[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yani wewe bure kabisa
Cc Hajar, demis, amu, mzigua, shunie, Evelyn nawapenda kama navyolipenda dushe langu
PmPm au hapa?
Nataka nijue
N pm doesn't send kabisa ndo block auPm au hapa?
Nataka nijue
Nilikua mapumziko kidogo, nakuja mama!..Baby daddy umeanza lini ubishi halafu uje kule
Siwezi kumtaja kabisa.Mtaje sasa
Wewe kama ndio huyo kwenye avatar,sikufichi wewe ni mzuri ajabu,yaani mnubi sio mnubi,muhabeshi sio muhabeshi ili mradi umekamilika tu.Hahahaa. Naona unaisemea akili yangu duuh.
Itakuwa hivyo basi.
Muwe mnaitana mafichoni juu kwa juu,sisi wengine tusione...![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] najua wapi pa kukupata ngoja nije.
Kaka mkubwa unajuaje kama PM ya mtu imefungwa.Pm kumefungwa hayo matumizi ntayatuma kwa njia gani bae
Kapic ka nini tenaJamani ebu niwekee kapicha Antonio
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ole wao wale ninaokesha nao kule Pm niwaone wakiwapenda wanawake wengine hapa jukwaani wakati kule wanasema wananipenda mimi.
Niko nawangoja hapa
[emoji23][emoji23][emoji23]Hajar huyu binti napenda sana ,ningekuwa magu ningemhonga mkoa wa mwanza wote amiliki yeye
Umeona eee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]