Hivi ni mwanamke gani humu jf unafikiri anapendwa sana ?

Hivi ni mwanamke gani humu jf unafikiri anapendwa sana ?

Yaani shoga acha tu.
Sijui nikupe password yangu kwa muda ukachungulie.
Yaani wengine mpaka siamini.
Jukwaani wako kimyaaaa....ila pm tunavyokimbizana sasa, kama paka na panya
Ahaaaahaaaaa[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Hebu waibue mmoja mmoja hapa jukwaani waache ujinga![emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Back
Top Bottom