The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
1- JK NyerereKama mada inavyojieleza hapo juu, kila nchi kwa nyakati tofauti hujaaliwa kuwa na mwanasiasa au wanasiasa wenye kujaaliwa vipaji vikubwa vya uongozi kiasi cha kugeuka kua kichocheo na hamasa kubwa kwa wanasiasa wanaoibukia na hata wasio wanasiasa. Ndipo nikajiuliza tunao wanasiasa wa namna hiyo kama nchi kwa sasa?
Huyu sijui aliwakoseaga nini CCM, maana teuzi zote wanamruka tu wakati uwezo anao.Pascal mayalla
tundu lissu
Ndio ni kweli walifaa na wao kua alipo baba yao yule alikua anawapa kiburi na kujiita mtukufu..Hawa nawaona wanafaa zaidi : Sabaya, Makonda, Ally Hapi, Alexandre Nyeti, Mwigulu Nchemba, Chalamila na Kassim Majaliwa.