Hivi ni mwanasiasa gani kwa sasa mwenye mvuto na ushawishi zaidi kwa jamii ambaye anastahili kuwa alama ya siasa za Tanzania?

Aliepigwa risasi 16 akimpinga dikteta ndio the best alimwaga damu kutetea nchi.
 
Ahahahahaha mama njoo uchungulie huku,ndo utajua wabwabwaji wa kwenye mitandao ndo hawa wa upinzania.

Ukisoma mawazo yao na kuyazingatia wanamwingiza mtu chaka.
 
Mtoa mada kauliza wanasiasa wa sasa, mtu anataja Nyerere na Sokoine, hata kama ni hulka ya kukurupuka wengine wamepita kiasi...
Jibu sahihi ni

Dr. Prof, Mwl. Mwl John Pombe Joseph Magufuli
 
Hili taifa lenu lina mapepo makubwa sana
 
Ndio watz walivyo, wapo kama li bendera
 
Samia Suluhu Hassan
 
Nyerere bado anabak kuwa icon wa muda wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…