MWISHO WA UZAZI
Hakuna mwisho wa dunia, Bali Kuna mwisho wa kizazi,,, kwa Sasa jua Lina miaka bil 5, na litakuwa na miaka bil 5 tena huko mbele,,, na mfumo wetu wa maisha unategemea jua. Binadamu wale wa kwanza kabisa walikuwepo miaka Mil 7 huko nyuma. Ina maana kabla ya binadamu sisi kuanza kutokea kulikuwa na maisha nyuma ambayo n Bil 4.993 (miaka 4,993,000,000) ambayo hatuyafahamu yalikuwaje...
NI NAMNA GANI KIZAZI CHETU KITAPOTEA.
Maendeleo ya teknolojia na ongezeko la watu
1. MAENDELEO YA TEKNOLOJIA, na MAENDELEO KWA UJUMLA.
Haya yamesababisha huko kwa weupe kuacha kuzaana, mwisho wa siku yatabaki mazee ambayo ni non productive, lakini at the same time bado population itakuwa inazidi kuongezeka, this time median age ya dunia ni 31, kufikia 2050 itakuwa ni 36, kwa Ulaya itakuwa n kubwa zaidi 47.... Wakati. Tufahamu pia mzee Musk kashatengeneza mke Roboti, hivo population of Europe itazidi kupungua, na watakuwa aged na non productive huku population of Africans ikizidi kuongezeka na kumigrate to Europe, Asia and America.
IN THE LONG RUN, THE POPULATION OF THE AGED ITAKUWA KUBWA, NON PRODUCTIVE, kuongezeka kwa technology kutasababisha pia most parts of the body kuwa useless,
Population increase, land is scarce in nature, increase in desertification=NJAA KALI.
Pia Kuna threat of nuclear weapons ambayo Kama zitatumika zitasababbisha uharibifu mkubwa wa mazingira.
Sent from my TECNO KC8 using
JamiiForums mobile app