Hivi ni nani aliwadanganya wakenya kwamba buses zetu za BRT walizitengeneza wao?

Hivi ni nani aliwadanganya wakenya kwamba buses zetu za BRT walizitengeneza wao?

REDEEMER.

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2015
Posts
8,925
Reaction score
14,890
Sijui ni kitu gani kimawasumbua hawa viumbe, hivi buses za BRT kuna company yoyote ya Kenya inayoweza kufanya ile assembling kweli?

Katika pitapita huko tweeter nashangaa wakenya bila soni wanasema waliounda buses zetu baada ya serikali yao wenyewe kutokua na imani nao mpaka kwenda SA kuorder buses za BRT yao ya kuchora.

Screenshot_2019-01-04-19-47-01.png
Screenshot_2019-01-04-19-42-33.png
Screenshot_2019-01-04-19-41-50.png


These folks are dumbest
 

Attachments

  • Screenshot_2018-12-26-07-43-34.png
    Screenshot_2018-12-26-07-43-34.png
    228 KB · Views: 38
MKuu hujaelewa walichomaanisha ni bus kwa ujumla sio bus za BRT bali ni zile local zinazoundwa na ma body builderwao ambao ni MASTER FABRICATOR,LSHS,MALVA,KVM,BANBROSS na CHODA. bus izo zipo nyingi tz.

Sent using Jamii Forums mobile app
Si kweli over 90% of buses in Tanzania have futurist body design na si those ugly buses from Kenya!
 
Kama watu wanasimama duniani na kudanganya Mlima Kilimanjaro uko kwao Kenya watashindwa kudanganya mabasi yanayotembea yametoka kwao? WaKenya walidanganya hivyo ili nao pia wawe na kitu chochote cha kujivunia kuhusu BRT ya Dar.
 
Kama watu wanasimama duniani na kudanganya Mlima Kilimanjaro uko kwao Kenya watashindwa kudanganya mabasi yanayotembea yamefika kwao? WaKenya walidanganya hivyo ili nao pia wawe na kitu chochote cha kujivunia kuhusu BRT ya Dar.

Aisee unajua kuna mtasha mmoja alikuja Tanzania na akawa shocked kuukuta mlimani Kilimanjaro Upo Tanzania!

Wakenya tunawapenda ila janja janja mingi
 
Yaani anataka kuingiza mabasi toka Kenya? Huyo naye VP zarau sana , hivi aliwaza nn? Huyo labda mnisaidie kunielewesha? Plz
Hawa watu ni Wapumbavu jamaa wa DART Mh Mhina alitaka kuingiza mabasi ya Kenya akakataliwa on the same ground hayakidhi vigezo. Waache wa-cram maana walitaka kutumia uagizwaji ule kulazimisha authorites Kenya kununua mabasi yao hovyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyang'au wana tatizo la kujiona wadogo mbele ya watanzania, kwa hiyo kila saa wao ni kujitutumua tu.
 
Back
Top Bottom