Hivi ni nani aliwadanganya wakenya kwamba buses zetu za BRT walizitengeneza wao?

Hivi ni nani aliwadanganya wakenya kwamba buses zetu za BRT walizitengeneza wao?

MKuu hujaelewa walichomaanisha ni bus kwa ujumla sio bus za BRT bali ni zile local zinazoundwa na ma body builderwao ambao ni MASTER FABRICATOR,LSHS,MALVA,KVM,BANBROSS na CHODA. bus izo zipo nyingi tz.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu,hata mimi nimejaribu kuangalia hizi post kutoka Kenya(kwa nilizoziona mimi), sijaona wakisema kuhusu mabasi ya BRT kuwa yalitengenezwa Kenya,whether partly or wholly!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Mtanzagiza ni mtu wa kusikitisha sana.
Kenya orders South Africa buses as Dar buys in Nairobi
IMG_20190106_004336_409.jpeg
IMG_20190106_004350_002.jpeg
IMG_20190106_004406_330.jpeg
 
CASE CLOSED! [emoji23][emoji23][emoji23]
 
huu upuuzi wao wa kujifanya wajuaji wa kila kitu ndio unaosababisha wakatiliwe kila nchi. nasikia hivi sasa hata kule nairaland kwa wanaijeria hawatakiwi.

ukute hao wanaodai brt buses zetu zinatoka kenya, ndio hawahawa vilaza wachache waliojisajiri hapa jf.
 
naona mafisadi ya kenya yanataka kuiba pesa ya umma kupitia mradi wa brt. nchi ya kitu kidogo.
Screenshot_2019-01-06-02-07-00-026_com.twitter.android.jpeg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] CASE CLOSED! Sijui mbona mko allergic kwa ukweli lakini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Na
Kama watu wanasimama duniani na kudanganya Mlima Kilimanjaro uko kwao Kenya watashindwa kudanganya mabasi yanayotembea yametoka kwao? WaKenya walidanganya hivyo ili nao pia wawe na kitu chochote cha kujivunia kuhusu BRT ya Dar.
Na nyie simameni muiambie dunia ukwel
 
Kama kale ka binti ka Odinga kalisema Oldupai Gorge ipo Kenya tena wakati anahutubia kwenye Podium za Umoja wa Mataifa ,mnashangaa nini sasa ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukweli huwa unajitokeza.
Kaka iyo ilikua b4 1970s. Now promo Ndo kila kitu, bax tusubir ukwel WA kuwa mlima kili upo kwetu ujitokeze tu from no where hiriar wenzetu wanautumia vlivo kuingiza kiasi kingi pengine kutushinda sie kupitia sector ya utalii
 
Back
Top Bottom