Mkuu,hata mimi nimejaribu kuangalia hizi post kutoka Kenya(kwa nilizoziona mimi), sijaona wakisema kuhusu mabasi ya BRT kuwa yalitengenezwa Kenya,whether partly or wholly!MKuu hujaelewa walichomaanisha ni bus kwa ujumla sio bus za BRT bali ni zile local zinazoundwa na ma body builderwao ambao ni MASTER FABRICATOR,LSHS,MALVA,KVM,BANBROSS na CHODA. bus izo zipo nyingi tz.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app